REAL MADRID, PSV, NA WENGINE KUKUPATIA USHINDI LEO

Jumanne ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi za UEFA zenye pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza na Borussia Dortmund yeye atatunishana mbavu dhidi ya Lille ya Ufaransa ambao wapo nafasi ya 5 kwenye ligi na mwenyeji yupo nafasi ya 10…

Read More

MZEE WA WAA ATUMA UJUMBE HUU

NYOTA Steven Mukwala mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kazi kubwa ni kupambana kwenye mech izote kupata matokeo mazuri kutokana na ushirikiano ambao upo kwenye timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Kwenye msimamo wa ligi Simba ni namba mbili baada ya mechi 21 imekusanya jumla ya pointi 54 vinara wakiwa ni Yanga inayonolewa na…

Read More

NYONI: CHAMA AMEONGEZEKA SPIDI HUKO JANGWANI

ERASTO Nyoni kiraka anayetimiza majukumu yake ndani ya kikosi cha Namungo kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa nyota Clatous Chama amebadilika hasa kwenye upande wa spidi ila watu wanamtazama kwa mazoea. Ipo wazi kwamba Chama ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye dirisha kubwa la usajili ilikuwa ni…

Read More