LEO TUNAREJEA UWANJANI KUSAKA PESA, LALIGA, MAN UTD KUKIWASHA

Siku hii ya leo tunarejea uwanjani kusaka pesa, ambapo ili kuzipata sasa hizo pesa lazima ubashiri na wakali wa ubashiri Meridianbet. Kuanzia pale Uingereza, mpaka kule Ufaransa mechi za pesa zipo.

Ligi kuu ya Hispania LALIGA  itarindima kwa mechi kibao ambapo Leganes atamleta kwake Getafe ambapo nafasi ya kushinda leo amepewa mgeni kwa ODDS 2.80 kwa 3.00. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, walitoshana nguvu. Je leo hii nani ataondoka na ushindi?. Bashiri hapa.

FC Barcelona atakuwa mwenyeji wa Real Sociedad ambao wapo nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Hans Flick wanahitaji ushindi leo hii arejee kileleni huku mgeni yeye akishinda atasogea hadi nafasi ya 7. Mechi hii imepewa ODDS 1.30 kwa 10. Jisajili hapa.

Hapo baadae CA Osasuna atamleta kwake Valencia ambao wapo nafasi ya 18 kwenye ligi huku mechi ya mwisho wakichezea kichapo cha maana. Mwenyeji ametoka naye kupoteza mechi iliyopita. Mara ya mwisho kuonana walitoshana nguvu. Je leo hii kwa ODDS ya 2.50 kwa 3.15 nani kuondoka na ushindi?. Tengeneza jamvi hapa.

Jumapili ya leo piga pesa na wakali wa ubashiri  Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Vilevile kule Italia SERIE A itaendelea leo hii ambapo Genoa atamenyana dhidi ya Empoli ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 9 pekee na mgeni anataka kulipa kisasi hii leo baada ya mechi ya mwisho walipokutana kuchezea kichapo. 2.00 kwa 4.30 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Pia AS Roma atakuwa mwenyeji wa Como 1907 ambao walishinda mechi yao iliyopita. Tofauti yapointi kati yao ni 12 pekee huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpa nafasi ya ushindi mwenyeji kwa ODDS 2.00 kwa 4.10. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili sasa.

Mechi kali Italia leo hii ni ya AC Milan vs Lazio Rome mechi itakayopigwa majira ya 4:45 usiku. Mwenyeji ametoka kupasuka mechi zake 2 za mwisho huku mgeni yeye mechi yake ya mwisho aitoa sare. Anayependelewa kuondoka na ushindi leo hii ni mwenyeji akiwa na ODDS 2.12 kwa 3.55. Bashiri hapa.

Kombe la FA raundi ya 5 kule Uingereza leo hii itaendelea kwa mechi mbili kali ambapo Newcastle United atakipiga dhidi ya Brighton ambapo kwenye ligi mwenyeji yupo nafasi ya 6 na mgeni wake nafasi ya 8. Takwimu zinaonesha kuwa mechi ya mwisho kuonana, mwenyeji alipoteza. Je leo hii atalipa kisasi?. 2.25 kwa 2.95 ndio ODDS za mechi hii. Beti hapa.

Wakati Manchester United yeye atakiwasha dhidi ya Fulham ambao kwenye mechi mbili za ligi walizokutana msimu huu United wameshinda zote. Hivyo basi vijana kutoka Craven Cottage wanahitaji ushindi leo hii wavuke hatua inayofuata. Je watweza mbele ya Mashetani Wekundu?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.50 kwa 2.75.