HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Pamba, Uwanja wa CCM Kirumba ambapo ingizo jipya ndani ya kikosi hicho kwenye dirisha dogo limeanzia benchi na walioanza kikosi cha kwanza ni
Djigui Diarra, Israel Mwenda, Boka, Nondo.
Ibrahim Bacca, Khalid Aucho, Duke Abuya, Mudathir Yahya washambuliaji wawili Prince Dube na Clement Mzize kiungo Maxi ameanza kikosi cha kwanza.
Wachezaji wa akiba ni Mshery, Dickson Job, Kibabage, Sureboy, Willson, Shekhan, Chama, Ikangalombo, Aziz Ki, Musonda.
Ikumbukwe kwamba Yanga ni vinara wa ligi ambapo wanakutana na Pamba Jiji ambayo inapambana kuwa kwenye nafasi za juu ndani ya ligi namba nne kwa ubora Afrika.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.