UTAJIRI UPO JUMANNE YA LEO ULAYA, BARCELONA VS ATLETICO KITAWAKA!

Jumanne ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3.

Tukianza na EPL kule Uingereza leo, vijana wa Marco Silva Fulham, watasafiri kupepetana dhidi ya Wolves ambao walishinda mechi yao iliyopita, huku mwenyeji yeye akicheza kichapo nyumbani. Tofauti ya pointi kati yao ni 17 huku wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet ikiwapa nafasi ya ushindi sawa yaani ni 2.70 kwa 2.70. Je beti yako unaiweka wapi leo?. Suka jamvi hapa.

Pia katika dimba la Selhurst Park, Crystal Palace atakipiga dhidi ya Aston Villa ambao walishinda mechi yao iliyopita. Palace wanahitaji ushindi leo hii ili wasijekuangukia pabaya kabla ligi haijaisha. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi mwenyeji kwa ODDS 2.60 kwa 2.80. Wewe beti yako unampa nani?. Jisajili hapa.

Jumanne ya mpunga mrefu hii hapa. Suka jamvi lako na Meridianbet leo, lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Brighton baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa AFC Bournemouth ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee huku mechi ya mwisho kukutana, vijana wa Fabian Hurzeler walishinda. Je mgeni atalipa kisasi leo?. Mechi hii ina ODDS 2.14 kwa 3.30. Bashiri hapa.

Pale Stamford Bridge kutakuwa  kutakuwa na mtanange mkali kati ya Chelsea dhidi ya Southampton ambao wapo nafasi ya 20 kwenye msimamo wa ligi yaani wa mwisho. The Blues mara wa mwisho walipokutana na vijana wa ST. Marrys walishinda. Je wataendeleza moto wao na leo?. 1.20 kwa 13 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Pia kule Hispania kutakuwa na nusu fainali ya COPA DEL REY kati ya FC Barcelona vs Atletico Madrid ambapo kwenye ligi timu hizi zimepishana pointi 1 pekee huku mechi ya mwisho kuonana Hans Flick na vijana wake walipigika. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi na kutinga Fainali kwenye Copa del rey?. 1.68 kwa 4.60. Jisajili hapa.

COPPA ITALIA pia kuna mchezo mmoja wa Robo Fainalia kati ya Inter Milan vs Lazio ambao kwenye ligi wapo nafasi ya 5 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 1 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana, Lazio alipigika vibaya mno. Je atalipa kisasi leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.80 kwa 4.30.