
SIMBA WAMETOA TAMKO HILI KISA POINTI MOJA MBELE YA AZAM FC
BAADA ya Februari 24 2025 ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 2-2 Azam FC mabosi hao wakigawana pointi mojamoja na matajiri wa Dar, Azam FC, Simba wametoa tamko lao kuhusu aina ya matokeo hayo. Kupitia kwenye ukurasa wa Instagram wa Ahmed Ally ambaye ni Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameandika namna…