
MNYAMA KWENYE MZIZIMA DABI TAMBO ZATAWALA
BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC ambao ni Mzizima Dabi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Februari 24 2025. Simba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza walipata ushindi wa mabao 2-0 ubao ukifunguliwa na Leonel Ateba ambaye alifunga bao lake la kwanza…