
KADI NYEKUNDU YA DERICK MUKOMBOZI DHIDI YA SIMBA YAFUTWA
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imefuta adhabu ya kadi nyekundu (Red Card) aliyooneshwa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi na mwamuzi wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Namungo dhidi ya Simba Sc. Taarifa ya leo Februari 23, 2025 iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa…