MAXIMUM PAYOUT NDANI YA MERIDIANBET MAMBO NI MOTO

Meridianbet wanaendelea kuhakikisha mteja wao anafurahia huduma zao kwani kwasasa wamekujia na kitu kinaitwa Maximum payout, Ambapo wamepandisha kiwango cha kulipia tiketi moja na kufikia mpaka kiasi cha shilingi milioni 300.

Kwa mfano leo kuna michezo tofauti tofauti itakayopigwa kwenye ligi kama Uingereza, Hispania, Italia, pamoja na ligi kuu ya Ufaransa ambapo unaweza kutumia huduma hii ya Maximam payout.

Wateja wanahimizwa na wale ambao bado hawajajiunga na kampuni hiyo kuchukua hatua mapema na kununua tiketi ili kuongeza nafasi zao za kushinda. Kumbuka kuwa hii ni nafasi pekee ya wewe mteja kubadilisha maisha yako kwa kuweza kushinda kiasi kikubwa cha pesa katika mchezo wa kubashiri.

NB: Lakini kumbuka kuwa kwenye hiyo tiketi yako hujumuishi mechi za Ligi ya Tanzania. Lakini mechi za ligi nyingine unaweza ukazijumuisha pale ambapo unabashiri.

Ligi kuu ya ya Uingereza leo itaendelea kuchezwa ambapo utapigwa mchezo mkali pale KingPower Stadium ambapo Leicester watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Brentford, Mchezo ambao utakua na ushindani mkubwa na umepewa Odds bomba pale Meridianbet. Bashiri sasa uweze kupiga mkwanja.

Leo pale kwenye ligi kuu ya Hispania kutakua na mchezo mkali  kati ya klabu ya Celta Vigo dhidi ya Osasuna mchezo ambao unaweza ukatumia huduma ya Maximum payout. Jisajili hapa.

Pale ligi kuu ya Italia Serie A kutakua na mchezo ambao unaweza kukupa mkwanja mzuri klabu  Lecce watakua wenyeji kukipiga dhidi ya klabu ya Udinese. Mchezo ambao utakupa fursa ya kutumia chaguo la Maximum payout ili uweze kushinda zaidiTandika jamvi hapa.

Ligi kubwa barani ulaya kukupa mkwanja leo. Suka jamvi lako na Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 itashuhudia mchezo mkali leo ambapo klabu ya Rennes itakua nyumbani kumenyana na klabu ya Reims. Mchezo hhuu umepewa Odds bomba pale Meridianbet ukiwa unaweza kukupa maokoto ya kutosha  Bashiri sasa.

Ujerumani Bundesliga pale leo kitapigika ambapo klabu ya Weder Bremen itakutana na Freiburg mchezo ambao ni wazi utakua wenye ushindani kwani timu zote mbili hazijaachana ubora. Bashiri hapa uondoke na kibunda cha kutosha.