SIMBA VS AL MASRY YA EGYPT KWENYE HATUA YA ROBO FAINALI

Simba SC imepangwa kucheza dhidi ya Al Masry katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, ambapo itaanzia ugenini kabla ya kumalizia nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ikiifunga Al Masry, Simba itakutana na mshindi kati ya Zamalek na Stellenbosch FC katika nusu fainali.
Kama Simba wataingia nusu fainali basi watakutana na mshindi kati ya Zamalek SC πŸ‡ͺπŸ‡¬ au Stellenbosch FC πŸ‡ΏπŸ‡¦