
MSHAMBULIAJI HUYU YANGA KWENYE ANGA ZA WAARABU
MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora, Clement Mzize anatajwa kuwa kwenye rada za Waarabu wa Moroco ambao wanahitaji saini yake. Ni Wydad Casablanca matajiri hawa wanatajwa kufika kwa mabosi wa Yanga na kuweka ofa yao mezani kwa ajili ya kupata saini ya kijana…