Ligi ya mabingwa barani ulaya kama kawaida imekua ni michezo ya neema kwa wapenzi wa ubashiri, Kwani watu wamekua wakinyakua mikwanja ya kutosha kupitia michezo hii lakini utapigwa mchezo mmoja mkali wa ligi kuu ya Uingereza leo.
Michezo ambayo inakwenda kuchezwa leo ina asilimia kubwa kukuacha milionea kwani michezo ya ligi ya mabingwa barani ulaya leo imepewa Odds kubwa kabisa pale Meridianbet bila kusahau ule mchezo mmoja pale kwenye ligi kuu ya Uingereza.
Real Madrid baada ya kushinda mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Man City leo watakua nyumbani kuwakaribisha mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Uingereza. Mchezo huu unatarajiwa kua mkali kwani Real Madrid wanaongoza kwa tofauti ya goli moja pekee hivo mchezo bado upo wazi kwa Man City. Bashiri sasa.
Klabu ya Psv Eindhoven watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Juventus kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya leo kuhakikisha wanapata nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora. Mchezo wa awali ulimalizika kwa Juventus kushinda kwa 2-1, Hivo mchezo wa leo bado unaonekana kua na ushindani mkubwa kutokana na matokeo ya mchezo wa kwanza kwani bado mchezo unaweza kumpa yeyote nafasi ya kufuzu.
Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya kukupa pesa leo. Bashiri na Meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Borussia Dortmund baada ya kushinda mchezo wa kwanza ugenini kwa 3-0 dhidi ya Sporting Lisbon, Leo watakua kwenye dimba lao la Signal Park watakua na kazi moja tu ya kuhakikisha wanafuzu hatua inayofuata Unaweza kubashiri mchezo ambao umepewa Odds kabambe pale Meridianbet
PSG wao walipata matokeo ya ushindi wa mabao 3-0 wakiwa ugenini dhidi ya Brest na leo watakua nyumbani kumenyana na Brest kwenye mchezo wa marudiano. Mchezo huu pia una Odds nono hivo unaweza kupiga kitita kupitia mbungi ya ligi ya mabingwa ulaya Jisajili hapa.
Pale kwenye ligi kuu ya Uingereza klabu ya Liverpool ikiwa kwenye za ubingwa watakua ugenini pale Villa park kukipiga dhidi ya Aston Villa, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali sana jambo ambalo limefanya Meridianbet kumwaga Odds kubwa kabisa kupitia mchezo huu weka ubashiri wako sasa upige mkwanja.