ALI KAMWE APELEKWA KAMATI YA MAADILI

 ALI Kamwe ambaye Ofisa Habari wa Yanga amepelekwa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, (TFF) na Ofisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Masanzala. Taarifa iliyotolewa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB), imeeleza kuwa katika kikoa cha Februari 12 2025 walipitia mwenendo wa…

Read More

BEKI HUYU ATAJWA KWENYE RADA ZA SIMBA

BEKI wa kazi  Wilson Nangu miongoni mwa wachezaji ambao wanavuja jasho ndani ya JKT Tanzania ambayo ipo ndani ya 10 bora anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Kariakoo ambao ni Simba. Chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kikosi cha Simba kimeruhusu mabao sita yakufungwa na katika hayo mawili wachezaji wa timu hiyo walijifunga, Ladack…

Read More

MERIDIANSPORTS WAMERUDISHA KWA JAMII TENA

Ni shangwe ndani ya Jangwani sekondari ambapo wamefikiwa na Meridiansports ambao wamefika kwenye shule hiyo na kutoa msaada ili kuendeleza kile ambacho wamekua wakikifanya kwa muda mrefu sasa Huu umekua utartibu wa Meridiansports miaka na miaka kuhakikisha wanagawana kile kidogo wanachopata pamoja na jamii yao, Leo waliofanikiwa kufikiwa na mabingwa hao wa michezo ya kubashiri…

Read More