
BUNGE LATAKA UKARABATI WA UWANJA WA MKAPA UKAMILIKE APRILI 2025
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeazimia mambo manne kuhusu Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwamo kuhakikisha ukarabati wake unakamilika ifikapo Aprili, 2025. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Husna Sekiboko ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya kamati hiyo. Sekiboko amesema serikali iandae mkakati wa kuanzisha chombo maalum cha…