Droo ya hatua ya 16 bora ya kombe la FA England imetoka ambapo Mabingwa watetezi, Manchester United wamepangwa dhidi ya Fulham huku Manchester City wakipangwa dhidi ya Wababe wa Liverpool, Plymouth.
Wababe wa Chelsea, Brighton wamepangwa dhidi ya Newcastle United huku Aston Villa wakipangwa dhidi ya Cardiff City wakati Wolves wakikutanishwa na Bournemouth.
Preston π Burnley
Aston Villa π Cardiff City
Doncaster/Crystal Palace π Millwall
Manchester United π Fulham FC
Newcastle United π Brighton
AFC Bournemouth π Wolverhampton
Manchester City πPlymouth
Exeter/Nottingham Forest π Ipswich