MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC ikiwa ni ligi namba nne kwa ubora, Yanga watakuwa kazini kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania.
Kwenye kikosi cha kwanza kiungo Clatous Chama ambaye mchezo uliopita dhidi ya Ken Gold alianzia benchi leo Februari 10 ameanza kikosi cha kwanza.
Kikosi kamili kipo namna hii:- Djigui Diarra, Israel Mwenda, Boka, Job, Bacca, Khalid Aucho. Clement Mzize, Mudathir Yahya, Prince Dube, Clatous Chama, Pacome Zouzoua.
Wachezaji wa akiba ni:-
Aweso, Nondo, Kibabage, Kibwana Shomari, Sure Boy, Abuya, Shekhan, Maxi, Aziz Ki, Musonda.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.