HAPA NDIPO PATAKAPOWAANGUSHA SIMBA

ENEO la ushambuliaji litawaangusha Simba kwenye mbio za kuwania ubingwa ikiwa wachezaji watashindwa kuwa makini hasa katika umaliziaji wa nafasi na kutengeneza nafasi. Katika michezo ambayo ameanza Mpanzu ameonekana kuwa na shauku kubwa yakutaka kufunga zaidi ya kutengeneza nafasi za mabao jambo linalowapa ugumu Simba kufunga ndani ya uwanja. Nafasi ambazo wanazipata ndani ya 18…

Read More