KAMATA RATIBA YA LIGI NAMBA NNE KWA UBORA AFRIKA

BAADA ya ubao wa Uwanja wa Tanzanite, Kwaraa kusoma Fountain Gate 1-1 Simba ngoma bado inaendelea kwenye Ligi namba nne kwa ubora Afrika ambapo kuna mechi zinachezwa leo msako wa pointi tatu muhimu.

HII HAPA RATIBA YA FEBRUARI 7

Coastal Union v JKT Tanzania, saa 10:00 jioni

Singida Black Stars dhidi ya Kagera Sugar, saa 10:00 jioni.

FEBRUARI 9

Pamba Jiji v Azam FC, saa 10:00 jioni

Namungo v Dodoma Jiji, saa 10:00 jioni

FEBRUARI 10

KenGold v Fountain Gate, saa 8:00 mchana

KMC V Singida Black Stars, saa 10:15 jioni

JKT Tanzania v Yanga, saa 10:15 jioni

 

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.