VIDEO: AHOUA HATAKOSA PENATI, MJANJA

WAKALI wa kucheka na nyavu kwenye upande wa Simba wakiwa na majukumu ya mapigo ya penati ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni Leonel Ateba na Jean Ahoua wamepewa asilimia kubwa yakuwa kwenye mwendelezo mzuri wa kupata penalti. Shabiki wa Simba, Banda Jr ameweka wazi kuwa Ahoua ni mjanja na hatakosa penati ndani ya kikosi cha Simba.