JONATHAN IKANGALOMBO KUWAKOSA KEN GOLD KESHO
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu bara kati ya wenyeji Yanga Sc dhidi ya Ken Gold Fc utakaopigwa kesho Februari 05, 2025 katika dimba la KMC Complex, kocha wa Yanga, Sead Ramovic amesema winga Mkongomani, Jonathan Ikangalombo Kapela aliyesajiliwa dirisha dogo kwa sasa hawezi kutumika kwa sababu hana utimamu mzuri wa mwili. “Jonathan ni mchezaji mzuri…