MUHIMBILI YANEEMEKA NA UJIO WA MERIDIANBET

Ukipata kidogo basi gawana na wengine ndivyo ambavyo hufanya Meridianbet kampuni ya ubashiri Tanzania, ambapo leo hii walikuwa na zoezi la kugawa aprons wa mama ntilie wa Muhimbili.

Aprons hizo zilitolewa na mama ntilie wanaofanya kazi katika maeneo ya karibu na Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Msaada huu unalenga kuboresha usalama na hali ya kazi kwa wanawake hawa, ambao ni sehemu muhimu katika jamii kwa kutoa huduma za chakula kwa wananchi.

Ikumbukwe kuwa msafara huo wa kugawa Aprons kwa mama Ntilie uliongozwa na Mhariri wa kampuni hiyo Bi Nancy Ingram ambapo yeye pamoja na jopo lake walifika eneo hilo na walipokelewa vizuri na wafanyabiashara wa eneo hilo.

Wafanya biashara hao wadogo wadogo baada ya kutoa Aprons kwa mama Ntilie hao, Nancy alisema kuwa, “Tunafurahi kuwa sehemu ya juhudi hizi za kuboresha maisha ya mama ntilie, ambao ni wahudumu muhimu kwa jamii yetu. Tunatambua changamoto wanazozipitia kila siku katika kufanya kazi zao na tunatumai kuwa msaada huu utaleta mabadiliko kwa kuwapa vifaa bora vya kazi. Aprons hizi zitasaidia kupunguza hatari ya majeraha na pia kuboresha huduma wanazotoa.”

Meridianbet ilitoa Aprons hizo kwa mama ntilie wengi walioko karibu na Hospitali ya Muhimbili, ambapo wengi wao hujizatiti katika mazingira magumu. Aprons hizo zitasaidia kuboresha usafi na mazingira za kazi, lakini pia zitamsaidia mama ntilie kuhifadhi chakula kwa usalama na kwa ufanisi.

Mama ntilie hao baada ya kupokea aprons hizo walisema kuwa , “Waashukuru sana kwa msaada huu kutoka Meridianbet. Aprons hizi zitawasaidia sana kutekeleza kazi zetu kwa usalama zaidi na kwa ufanisi. Wanafurahi kuona kwamba kampuni inatambua umuhimu wa kazi zo na kuwasaidia kuboresha mazingira yao ya kazi.”

Wakali hao wa ubashiri Tanzania wanaendelea kupita sehemu mbalimbali ili kusaidia jamii  kutatua changamoto zao. Lakini pia kupitia Meridianbet pia kampuni nyingine zinaweza kuona na kutoa msaada kwa jamii inayotuzunguka kwani watu wengi wanahitjia kushikwa mkono.

Ijumaa ya leo unaweza kubashiri na Meridianbet mechi za leo ili uweze kupiga pesa sasa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Jisajili hapa.