
YANGA WAKIWASHA KOMBE LA MAPINDUZI USIKU KABISA
WAKATI watani zao wa jadi Simba wakifungua mwaka 2023 kwa kunyooshwa na Mlandege kwenye Kombe la Mapinduzi, Yanga wao wameanza kwa ushindi. Katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya KMKM uliochezwa Uwanja wa Amaan ubao uligoma kubadilika katika dakika 90 za kawaida. Ilibidi Yanga wasubiri mpaka dakika ya 90+5 na kupata bao la ushindi kupitia kwa…