
KOCHA MJERUMANI AANDALIWA MIKOBA SIMBA, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
CHAMPIONI Jumamosi ukurasa wa mbele habari kubwa inaeleza kwamba Kocha Mjerumani aandaliwa mikoba Simba,Yanga wasema hawana presha na kesi ya Morrison CAS
CHAMPIONI Jumamosi ukurasa wa mbele habari kubwa inaeleza kwamba Kocha Mjerumani aandaliwa mikoba Simba,Yanga wasema hawana presha na kesi ya Morrison CAS
Kocha Mkuu wa Manchester Unite, Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kubaki na kuendelea kuinoa timu hiyo licha ya mwendelezo wa matokeo mabovu hususani ya bao 5-0 aliyapata juzi baada ya kupigwa na Liverpool, Sky Sports Italia imethibitisha. Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Manchester, Richard Arnold jana alivunja appointment zote za vikao vya wageni ili kukutana na Mmiliki wa Klabu hiyo, Joel…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kama amewajaza upepo washambuliaji wa timu hiyo akiwemo Fiston Mayele kwa kuwa waambia kuwa wanauwezo mkubwa wa kufunga mabao mengi katika kila mchezo ikiwa tu wataamua kuzitumia vizuri nafasi wanazopata. Nabi ametoa kauli hiyo baada ya mazoezi ya juzi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam unaotarajia kupigwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar….
TAREHE ambayo hukumu ya kesi kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Bernard Morrison ilikuwa imepangwa, imesogezwa tena mbele hivyo inatarajiwa kutolewa Novemba 23, mwaka huu. Wakili wa Yanga, Alex Mgongolwa ametoa ufafanuzi kuwa hukumu hiyo itatolewa siku yoyote kuanzia sasa mpaka Novemba 23, kwa mujibu wa taarifa waliyopewa na CAS. Mahakama hiyo ya…
KATIKA rundo la CV ambazo Simba imezipokea kwa ajili ya nafasi ya kocha mkuu wa timu hiyo, kuna majina ya makocha kadhaa waliowahi kuifundisha Yanga. Simba sasa inasaka mrithi wa Mfaransa, Didier Gomes, aliyetangaza kujiuzulu klabuni hapo baada ya matokeo mabaya kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Baadhi ya makocha waliowahi kuifundisha Yanga wanaitajwa zaidi…
KLABU ya Manchester City inayonolewa na Kocha Mkuu, Pep Guardiola juzi walitupwa nje kwenye michuano ya Kombe la Carabao kwa mara ya kwanza baada ya kuyeyuka miaka mitano. City iliweza kuonja joto hilo la jiwe kwa kutolewa kwa mikwaju ya penalti dhidi ya West Ham United baada ya dakika 90 kukamilika kwa timu hizo bila…
KIUNGO wa Klabu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England, Paul Pogba ataondoka bure ndani ya kikosi hicho msimu wa 2021/22 utakapomeguka kwa kuwa mabosi wa timu hiyo wamethibitisha kwamba hawatamuongezea dili jingine. Mwishoni mwa msimu huu Pogba mkataba wake utameguka na kuanzia Januari 2022 atakuwa huru kufanya mazungumzo na klabu nyingine ambayo inahitaji saini…
KIUNGO Paul Pogba wa Manchester United imeripotiwa kuwa amefungiwa,United watangaza kuachana naye, Koeman atimuliwa na rekodi mbaya ni ndani ya Championi Ijumaa nakala yake ni 800
HABARI kubwa ambayo imepewa kipaumbele gazeti la Championi Ijumaa imewataja nyota watano ambao wamemchomesha Gomes, pia kuna suala la Yanga kuzidi kuwa tamu pamoja na dozi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, nakala yake ni 800
Ni wikiendi inayopamba na michezo kadhaa ya kukata na shoka kwenye ulimwengu wa soka barani Ulaya. EPL, Serie A na Ligue 1, zinaweza kukupatia mamilioni ya pesa kwa Odds Bora zilizopo kwenye michezo ya wikiendi hii. Mambo yapo huku! Ligue 1 itafungua duru ya burudani la wikiendi ijumaa hii. PSG kuwaalika Lille katika jiji…
RONALD Koeman amefutwa kazi jumlajumla ndani ya kikosi cha Barcelona kinachoshiriki La Liga nchini Hispania ikiwa ni baada ya miezi 14 kutumia katika kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo huku jina la Roberto Martinez likitajwa kurithi mikoba yake. Kwa msimu wa 2021/22 ndani ya La Liga, Koeman alikiongoza kikosi chake kushinda mechi 10 na…
MILTON Nienov, raia wa Brazil aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa Oktoba 26 amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kusaini dili jipya ndani ya Yanga ikiwa watafikia makualiano mazuri. Kocha huyo kwa sasa yupo huru baada ya mabosi wa timu hiyo kufikia uamuzi wa kuachana naye kutokana na kile waliochoeleza kuwa…
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/22 upo namna hii ambapo vinara ni Yanga walio na pointi 9 baada ya kucheza mechi tatu kinara wa kutupia mabao ni Vitalis Mayanga wa Polisi Tanzania mwenye mabao matatu.
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Ahamisi, Oktoba 28 lipo mtaani nakala yake ni 500 tu
KIKOSI cha Simba leo Oktoba 27 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Bao la ushindi limefungwa na kiungo Rarry Bwalya dakika ya 89 kwa mkwaju wa penalti iliyosababishwa na kiungo Bernard Morrison. Kwenye mchezo wa leo Polisi Tanzania walikuwa kwenye ubora…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewapatia viwanja jijini Dodoma wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars kwa kuibuka mabingwa wa COSAFA 2021. Rais Samia (katikati) akiwa na baadhi ya wachezaji wa Twiga Stars na viongozi mbalimbali. Rais Samia ametoa zawadi hiyo leo Oktoba…
KINDA wa Barcelona, Ansu Fati amesema kuwa alipata ofa nyingi sana lakini akaamua kubaki Barcelona na wala hana wasiwasi kuvaa jezi ya Lionel Messi. Fati alikubali kusaini mkataba mpya wa miaka sita na Barcelona na sasa dau lake la usajili ni Euro bilioni moja jambo ambalo linaonekana kuishtua dunia. Kinda huyo ambaye anatajwa kuwa…