WAKATI UNAKUJA KULINDANA UWANJANI MUHIMU

MUDA uliopo kwa sasa katika mapumziko ni kufanya kazi kubwa kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi zijazo huku kila mchezaji akifanya tathimini ya kile ambacho alikifanya uwanjani. Bado vita ni kubwa kwenye upande wa timu ambazo zinasaka ushindi hilo lipo wazi na litaendelea kuwa hivyo pale ligi itakaporejea kwa mara nyingine tena. Licha ya…

Read More

SAFU YA USHAMBULIAJI YAMLIZA PABLO

 PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa tatizo ambalo linamsumbua kwa sasa ni ubora wa wachezaji wake hasa kwenye safu ya ushambuliaji. Kwenye mchezo wao mzunguko wa pili dhidi ya Azam FC Uwanja wa Azam Complex uliochezwa Mei 18, mabingwa hao watetezi walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1. Ni Rodgers Kola alifunga dk ya 37…

Read More

AFCON KUENDELEA KUTIMUA VUMBI LEO

Michuano ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON kuendelea kutimua vumbi leo huko nchini Ivory Coast na timu kadhaa leo zitashuka dimbani kutafuta alama tatu muhimu kwajili ya kufuzu hatua inayofuata. Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet hawataki uangalie AFCON kinyonge, Kwani wamekuwekea Odds za kutosha katika michezo ambayo itapigwa leo hivo ni…

Read More

MWENDO WA BIASHARA UNITED NA MBEYA KWANZA UNA JAMBO LAO

KAZI haiwezi kuwa nyepesi kwa kuwa lazima mapambano yawe makubwa katika kufanya hilo jambo ambalo unalihitaji kwa wakati. Kila mmoja kwenye Ligi Kuu Bara kwa sasa anapambana kuweza kufikia malengo ambayo alianza nayo mwanzo wa msimu wa 2021/22 ambao unakaribia kugota mwisho. Hakika ni moja ya msimu wenye ushindani mkubwa na kila timu inafanya vizuri…

Read More

JISHINDIE MIHELA NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!

Mchezo wa Blackjack Live        Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na watenganezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia  kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana…

Read More

HAMISA MOBETTO ALIPUKA: “NIMECHOKA, NAOMBENI MNIACHE!”

Mwanamitindo na mjasiriamali maarufu, Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mke wa nyota wa klabu ya Yanga SC na raia wa Burkina Faso, Stephanie Aziz Ki, amefunguka kwa uchungu kupitia ‘insta stories’ baada ya kuchoshwa na maneno ya watu mitandaoni. Kupitia ujumbe aliouchapisha, Hamisa ameonyesha kuchoka na mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa watumiaji wa…

Read More

MTAMBO WA MABAO SIMBA KUIKOSA ORLANDO PIRATES

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Sima, Bernard Morrison kwenye mechi za kimataifa anatarajiwa kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Orlando Pirates. Ni mabao matatu ambayo amefunga na kutoa pasi tatu na amesababisha penalti moja hivyo kahusika kwenye mabao 7 kati ya 17 ambayo yamefungwa na timu hiyo  katika mechi za kuanzia hatua ya…

Read More

KIPA SIMBA AIBUKIA MTIBWA SUGAR

JEREMIA Kisubi, kipa namba tatu wa Simba leo Januari 10,2022 ametambulishwa ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar. Usajili wake ni wa mkopo akitokea Simba ambapo huko alikuwa hapati nafasi ya kuanza katika mechi za ushindani.   Aliibuka ndani ya Simba akitokea Tanzania Prisons ambapo huko alikuwa ni chaguo namba moja la benchi la ufundi. Ni…

Read More

SIMBA WASEMA MAYELE ALIKUWA MZURURAJI UWANJA WA MKAPA

AHMED Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani ya Simba amesema kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele hakuweza kutamba mbele ya Joash Onyango na Henock Inonga. Aprili 30,2022 Mayele ambaye ni kinara wa utupiaji ndani ya ligi akiwa na mabao 12 aliweza kubanwa asiweze kutetema kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi uliokamilika kwa sare…

Read More

GABRIEL ANAWANYOOSHA TU

 KIWANGO cha nyota wa Arsenal, Gabriel Jesus kimezidi kuwa moto baada ya wikiend kuweza kutupia mabao mengine. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Chelsea ambapo Arsenal iliweza kushinda kwa mabao 4-0 juzi huko jijini Orlando,Florida,Marekani. Raia huyo wa Brazil alifunga bao lake la nne ndani ya mechi nne za pre season na kuonyesha kwamba Arsenal…

Read More