DAKIKA 45 YANGA WANAULIZA NYIE HAMUOGOPI

WAKIWA Uwanja wa Sokoine Mbeya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanauliza eti :’Nyie Hamuogopi’ baada ya kwenda mapumziko wakiwa vifua mbele. Dakika 45 zimekamilika na ubao wa Uwanja wa Sokoine unasoma Mbeya Kwanza 0-2 Yanga. Kipindi cha kwanza Yanga wametawala mchezo ambapo wamefunga mabao mapema kabisa ndani ya dakika 20 za awali. Ilikuwa ni…

Read More

INGIZO JIPYA SIMBA LAANZA MATIZI

WINGA wa Simba Aubin Kramo ameanza mazoezi katika viwanja vya MO Simba Arena. Raia huyo wa Ivory Coast aliyeibuka ndani ya Simba akitokea ASEC Mimosas hakuwa fiti Jambo lililomuweka nje ya uwanja. Kramo aliumia kwenye mazoezi ya kujiandaa na mechi za Ngao ya Jamii kule Tanga, Uwanja wa Mkwakwani. Simba ilicheza mechi mbili dhidi ya…

Read More

BANGALA MAJANGA AZAM FC

NI Yannick Bangala kiungo wa Yanga hatakuwa kwenye mchezo ujao wa timu hiyo dhidi ya Coastal Union, Oktoba 6 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Bangala amechanika msuli wa nyuma ya paja, kwenye mchezo wa jana Jumanne dhidi ya Dodoma Jiji. Baada ya mechi hiyo, Bangala alirudi Dar Es Salaam kwa vipimo zaidi, wakati timu ikielekea Tanga…

Read More

SIMULIZI YA MFANYABIASHARA AMBAYE ALITOROKWA NA MARAFIKI ZAKE

SIMULIZI ya mfanyabiashara ambaye alitorokwa na marafiki zake Niliishi mjini Namanga ambapo nilikuwa na biashara mbalimbali za kuuza nguo kwenye mji huo uliokuwa kitovu kizuri cha biashara kwa kuwa ulipatikana mpakani. Nilikuwa mwana pekee katika familia yetu. Maisha yalikuwa mazuri kwani nilikuwa buheri wa afya, kijana mtanashati aliyekuwa miraba minne. Biashara ilinipeleka vizuri maana wateja…

Read More

MORRISON AFUGUKIA ISHU YA KUSUGUA BENCHI

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amefunguka kuwa, hana shida na kuanzia benchi ndani ya kikosi hicho, kwani ni jambo la kawaida kwenye timu yoyote kubwa na wajibu wake kama mchezaji ni kuhakikisha anaongeza jitihada kumshawishi kocha kumpa nafasi. Tangu kiungo raia wa Senegal, Pape Sakho aanze kuuwasha moto ndani ya Simba, Morrison ameonekana kupata…

Read More

SALUM MAYANGA KOCHA MPYA MTIBWA SUGAR

RASMI Salum Mayanga atakuwa kwenye benchi la ufundi la Mtibwa Sugar baada ya kutambulishwa leo Januari 7,2022. Mayanga alikuwa akiinoa timu ya Tanzania Prisons ambapo alikuwa kwenye mwendo mzuri jambo lililowafanya Mtibwa Sugar kuhitaji huduma yake. Anachukua mikoba ya Joseph Omong ambaye alichimbishwa Desemba 14,2021. Kwenye msimamo Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 13 ikiwa na…

Read More

AZAM FC KUMENYANA NA KMC AZAM COMPLEX

BAADA ya kukamilisha kete yao dhidi ya Simba Uwanja wa Mkapa, kituo kinachofuata ni dhidi ya KMC. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. KMC wao wametoka kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ubao ulisoma Yanga 1-0 KMC hivyo…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA KWENYE HESABU ZA SIMBA

THIERRY Manzi raia wa Rwanda anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Simba kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo msimu ujao. Simba imepishana na ubingwa ambao upo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Yanga pia imetinga hatua ya fainali ya Azam Sports Federation iliposhinda mbele ya Singida Big…

Read More

YANGA:SISI BADO TUPO,KUSHUKA BADO SANA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba bado upo nafasi ya kwanza na kwa wale ambao wanafikiria kwamba watapoteza kwenye mechi za hivi karibuni hilo walisahau. Ikiwa imecheza mechi 17 kibindoni imekusanya pointi 45 haijapoteza mchezo hata mmoja zaidi ya kuambulia sare kwenye mechi tatu pekee na moja kati ya sare hizo ni ile iliyopata mbele…

Read More

YANGA WAREJEA BONGO KUTOKA ZANZIBAR

BAADA ya kukamilisha kambi ya muda Zanzibar kwa ajili ye kujiweka sawa kwa mechi za Ligi Kuu Bara leo Novemba 13 kikosi cha Yanga kimerejea Dar. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilikuwa Zanzibar na imecheza mechi mbili za kirafiki. Mchezo wa kwanza ulikuwa dhidi ya Mlandege FC na ule wa pili ulikuwa dhidi…

Read More

SIMBA YATINGA NUSU FAINALI, YANGA KAZINI

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Fadlu Davids kimetinga hatua ya nusu fainali CRDB Federation Cup kwa ushindi dhidi ya Mbeya City. Kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex, Simba ilipata mabao kupitia kwa Fabrince Ngoma dakika ya 24 akiweka usawa bao la Mudathir Said wa Mbeya City aliyepachika bao dakika ya 22. Bao…

Read More

MAYELE AMPA JEURI MPOLE, ATOA TAMKO LA KUPAMBANA ZAIDI

STAA wa Klabu ya Geita Gold FC, George Mpole amesema kuwa siri iliyopo nyuma ya uwezo wake mkubwa wa kufunga kwenye ligi msimu huu ni ubora wa washambuliaji na wachezaji wakigeni ambao wamekuwa wakitesa kwenye ligi ya Tanzania. Mpole alisema, wachezaji hao wamekuwa wakimpa chachu ya kuendelea kupambana zaidi akiwa uwanjani ili kuweza kupambania nao…

Read More

SUALA LA MKATABA KUVUNJWA KYOMBO LAFAFANULIWA

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Singida Big Stars iliyo na maskani yake mkoani Singida Hussein Massanza amesema kuwa mchezaji aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Klabu ya Mbeya Kwanza iliyoshuka daraja Habibu Kyombo ameiomba klabu hiyo kuvunja mkataba kutokana na kuwa na malengo makubwa zaidi. Meneja huyo amebainisha kuwa Kyombo alitoa sababu ambazo…

Read More

AZAM FC MWENDO WAKE HUU HAPA

AZAM FC matajiri wa Dar balaa lao wanaliendeleza kutokana na kushinda kwenye mechi tano mfululizo ambazo ni dakika 450. Ikumbukwe kwamba kasi ya Azam FC ilianza Novemba Mosi ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika ulisoma Mashujaa 0-3 Azam FC, Novemba 4 ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma Ihefu 1-3 Azam FC,. Novemba 24 ubao wa Uwanja…

Read More