SEN KUJENGA UWANJA MWINGINE SIMBA

MPANGO mkubwa wa Simba kwa sasa ni kuendelea kuwa bora kwa kuboresha mazingira ya wachezaji ikiwa ni pamoja na sehemu ya kufanyia mazoezi. Julai 14 2024 Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji alikutana na kufanya mazungumzo na Simba Executive Network (SEN). SEN ni mtandao wa mashabiki wa Simba ambao huchangia ada ya…

Read More

MDAKA MISHALE NA AIR MAULA KIMATAIFA WAMEKIMBIZANA

MDAKA mishale wa Yanga, Djigui Diarra, kwenye anga la kimataifa amekimbizwa na Aishi Manula maarufu Air Manula wa Simba. Katika mechi nne za Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo Yanga na Simba zimecheza msimu huu, Diarra katunguliwa mabao mawili, huku akiwa na clean sheet mbili. Alifungwa bao mojamoja dhidi ya Al Hilal nyumbani na ugenini kwenye…

Read More

YANGA KAMILI GADO KUWAKABILI KAGERA SUGAR

WALTER Harrison, Meneja wa Yanga amesema kuwa maandalizi kuelekea mchezo wao wa Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex yapo tayari na wanaendelea kufanya kwa umakini mkubwa. Huo utakuwa ni mchezo wa pili kwa wababe hawa kukutana ndani ya ligi kwa kuwa katika mzunguko wa kwanza kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba baada ya…

Read More

Mamilioni ya Pesa Kutolewa na Meridianbet Leo

Timiza ndoto zako leo hii ukiwa na mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet kwa kubeti mechi zako za ushindi. Chelsea, AS Roma, RB Leipzig na wengine kibao wapo dimbani kuhakikisha hutoki patupu. Tukianza na BUNDESLIGA kule Ujerumani kuna mechi za pesa ambapo FC Heidenheim atamualika kwake VFB Stuttgart ambao walipata ushindi kwenye mechi yao iliyopita. Mwenyeji…

Read More

FAINALI YA MANE V SALAH LEO AFCON

LEO Jumapili michuano ya AFCON 2021 inatarajiwa kufika tamati baada ya kuchezwa kwa siku 28 kuanzia Januari 8,2022 huku wengi wakitarajia kuona mchezo mzuri ndani ya dakika 90 nchini Cameroon. Timu 24 zilianza hatua ya makundi hadi leo zimebaki mbili ambazo zitacheza fainali kusaka bingwa baada ya wenyeji Camroon kupata ushindi kwa penalti mbele ya…

Read More

JKT TANZANIA NGOMA NGUMU MBELE YA YANGA

LICHA ya mazingira ya Uwanja wa Meja Isamuhyo kutokuwa rafiki kwa timu zote mbili ngoma imekuwa ngumu kwa wote wawili kugawana pointi mojamoja. Ubao umesoma JKT Tanzania 0-0 Yanga baada ya filimbi ya mwisho kwa mwamuzi kupigwa katika mchezo wa mzunguko wa pili. Ikumbukwe kwamba mzunguko wa kwanza JKT Tanzania walishuhudia ubao wa Uwanja wa…

Read More

KMC WAICHAPA KAGERA SUGAR

HATIMAYE leo Machi 9,2023 KMC imepata ushindi mbele ya Kagera Sugar na kusepa na pointi tatu mazima. KMC haikuwa kwenye mwendo mzuri kwenye mechi zake za hivi karibuni ambapo ilipotoka kunyooshwa bao 1-0 dhidi ya Yanga ikapoteza pia mbele ya Azam FC kwenye mechi za ligi ilizocheza Dar. Ni mabao ya Daruesh Saliboko dakika ya…

Read More

NABI ABAINISHA UGUMU ULIOPO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kuwakabili wapinzani wao. Kocha huyo amebainisha kuwa ratiba ni ngumu ndani ya ligi hivyo wanapambana nayo kwa ajili ya kupata matokeo. Nabi anaingia uwanjani akiwa na kumbukumbu ya kukusanya pointi moja mbele ya Simba…

Read More

AUBA MWENDO WA REKODI TU

STAA wa Klabu ya Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amezidi kuwa moto ndani ya maisha yake mapya ambayo ameyeanza kuishi kwa sasa. Jumapili nyota huyo alikuwa mchezaji aliyefanya vizuri kwenye El Clasico wakati Barcelona iliposhinda mabao 4-0 dhidi ya Real Madrid wakiwa ugenini. Alifunga mabao mawili na kutoa pasi moja jambo ambalo ni kubwa kwake tangu alipojiunga…

Read More