KIUNGO WA KAZI AREJEA SIMBA

BAADA ya kukoseka kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara kiungo mkandaji wa Simba amerejea katika uwanja wa mazoezi ikiwa tayari kwa mechi zijazo ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Kibu Dennis maarufu kwa jina la Mkandaji alipata maumivu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tabora United ambapo baada ya dakika…

Read More

YANGA:TUMEONDOA MATUMAINI YOTE YA SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba umeondoa matumaini yote ambayo walikuwa nayo watani wao wa jadi Simba kutwaa mataji msimu huu. Simba ilikuwa inatetea taji la Kombe la Shirikisho na kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga. Kwenye upande wa Ligi Kuu…

Read More

CHELSEA VS MAN CITY… UBABE UBABE TU

VITA kali leo Alhamisi itakuwa pale darajani ambapo miamba miwili ya soka itavaana kila mmoja akiwa na machungu yake baada ya kuanza mwaka vibaya. Huu utakuwa ni mchezo wa Premier League kati ya Chelsea na Manchester City ambao walianza mwaka 2023 kwa kupoteza pointi mbili kila mmoja ndani ya ligi hiyo. Mchezo utapigwa katika Uwanja…

Read More

YANGA:TUNAKAMIWA KWENYE MECHI ZETU

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amesema licha ya kuibuka na ushindi 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons, kikosi chake kinakutana na wakati mgumu kwani kila timu wanayokutana nayo inacheza kama fainali dhidi yao. Yanga imefikisha pointi 23 na kuendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikifuatiwa na Simba yenye pointi 18 na mchezo…

Read More

CEO MPYA WA SIMBA HUYU HAPA

NI imani Kajula ametangazwa kuwa Mtendaji Mkuu mpya wa Simba SC akichukua nafasi ya Barbra Gonzalez ambaye alitangaza kujiuzulu kwenye nafasi hiyo. Mtendaji huyo mpya ameweka wazi kuwa anafurahi kujiunga na timu hiyo kwenye nafasi hiyo. Aidha amesema yeye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo kwa muda mrefu. “Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba…

Read More

MBEYA CITY YAINYOOSHA POLISI TANZANIA

KIKOSI cha Polisi Tanzania kimeadhibiwa na nyota wa Polisi Tanzania ambao walikuwa kwenye kikosi hicho kwa nyakati taofauti na sasa wanapata changamoto mpya ndani ya Mbeya City. Kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sokoine, baada ya dakika 90, ubao umesoma Mbeya City 3-1 Polisi Tanzania. Ni mabao ya Hassan Nassoro dakika ya…

Read More

YANGA: HATUKUWA NA MCHEZO MZURI MBELE YA TABORA UNITED

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa hawakuwa na mchezo mzuri tangu dakika ya kwanza mbele ya Tabora United hivyo wameyapokea matokeo kinyonge wanaamini watarejea kwenye ubora. Ikumbukwe kwamba Novemba 7 2024, Yanga ilipoteza mchezo wake wa pili kwenye ligi baada ya kushuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Yanga 1-3 Tabora United….

Read More