
FEI TOTO, MORRISON NA AZIZ KI WAPEWA KAZI KIMATAIFA
VIUNGO wa Yanga ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Feisal Salum, Bernard Morrison, Khalid Aucho wamepewa kazi maalumu kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa nchini Sudan, Jumapili, Oktoba 16,2022 saa 2:00 usiku baada ya ule uliochezwa Uwanja wa Mkapa,ubao usoma Yanga 1-1 Al Hilal. Nasreddine…