
MWENDO WA USHINDI TU YANGA
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Koha Mkuu, Nasreddine Nabi kimeweza kuweka rekodi matata ya kucheza mechi 8 ambazo ni dakika 720 bila kupoteza huku kikifunga jumla ya mabao 13 na kufungwa mabao mawili. Nyota wake wawili wote kibindoni wametupia mabao matatumatatu kwenye mechi walizocheza ambao ni Feisal Salum na Jesus Moloko huku baba lao akiwa…