SIMBA WAWAFUATA WAARABU MOROCCO

WAWAKILISHI  wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Simba Desemba 5 2023 imeenza safari yakuelekea Morocco. Safari hiyo ni maalumu kwa ajili ya kuikabili timu ya Wydad Casablanca mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita kwa Simba wakiwa ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy walishuhudia ubao ukisoma Jwaneng Galaxy 0-0 Simba….

Read More

SOPU KAANZA KUIKABILI YANGA KWA MKAPA

NYOTA Abdul Seleman,’Sopu’ kiungo wa Azam FC ameanza kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa leo Desemba 25,2022 dhidi ya Yanga. Ikumbukwe kwamba alipokuwa Coastal Union Sopu alifunga hat trick kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga jambo lililowavutia mabosi wa Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ukisubiriwa kwa…

Read More

BREAKING:IBRAHIM AJIBU APEWA MKONO WA KWA KHERI SIMBA

BREAKING:UONGOZI wa Klabu ya Simba umethibitisha kusitisha mkataba wa kiungo fundi Ibrahim Ajibu. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Simba imeeleza kuwa imefikia makubaliano ya pande zote mbili kwa maslahi mapana kusitisha mkataba wa kiungo huyo mshambuliaji. Ajibu alirejea nyumbani kwa mara nyingine tena akitokea Yanga ambapo alipokuwa huko alikuwa ni nahodha na alipofika Simba mambo…

Read More

GREALISH ABAINISHA KUWA HAALAND HATAKAMATIKA

KIUNGO mshambuliaji wa Manchester City, Jack Grealish ametabiri kuwa mshambuliaji mpya wa timu hiyo Erling Haaland hatakamatika katika msimu wake wa kwanza ndani ya Premier. Nyota huyo mwenye miaka 22 ameonekana kuwa karibu sana na Grealish baada ya kujiunga na kikosi hicho akiwa kwenye wiki ya kwanza ya mazoezi nchini Marekani. ‘Erling anaonekana yupo vizuri…

Read More

JKT TANZANIA WAPIGWA NA SINGIDA BLACK STARS NYUMBANI

Jonathan Sowah amefunga bao lake la pili la msimu kwenye mechi yake ya pili kwenye Ligi Kuu bara akiiandikia Singida Black Stars bao la ushindi katika Dimba la Meja Jenerali Isamuyo dhidi Maafande wa JKT Tanzania ambao waliikazia Yanga Sc kwenye mchezo uliopita na kuondoka na alama moja kwenye dimba hilo. Singida Black Stars wanaendelea…

Read More

KOCHA MPYA YANGA, KAZE IMEISHA

KALBU ya Yanga imemtambulisha kocha msaidizi ambaye  ni Moussa Ndao raia wa Senegal. Anaungana na Miguel Angel Gamondi ambaye huyu ni mkuu kwenye benchi la ufundi ndani ya kikosi cha Yanga. Julai 11 Ndao alitambulishwa rasmi ndani ya Yànga ambao ni mabingwa watetezi. Anachukua mikoba ya Cedric Kaze ambaye alikuwa akifanya kazi na Nasreddine Nabi…

Read More

NYOTA HAWA WA KAZI KUIKOSA REAL BAMAKO

NYOTA wa Yanga, Jesus Moloko kuna hatihati akaukosa mchezo wa leo dhidi ya Real Bamako kutokana na kutokuwa fiti. Nyota huyo alipata maumivu kwenye mchezo wa Azam Sports Federation dhidi ya Tanzania Prisons ambao ulikuwa ni wa hatua ya 16 bora. Moloko ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ambapo kwenye…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO

KOCHA Mkuu wa Azam FC Yusuph Dabo amesema kuwa watafanyia kazi makosa yaliyopita kwenye mchezo wao dhidi ya Singida Fountain Gate ili kuendelea kupata ushindi. Katika mchezo huo Azam FC ilipata bao la ushindi dakika ya 90 kupitia kwa nyota wao Idd Suleiman, (Nado) alimtungua kipa wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya. Singida Fountain Gate…

Read More

SIMBA WATOSHANA NGUVU KWA MKAPA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ni mashuhuda wakigawana pointi mojamoja na  wapinzani wao ASEC Mimosas wakiwa nyumbani. Licha ya kuanza kupachika bao la kuongoza hali haikuwa njema kwa upande wao walitunguliwa pia bao kipindi cha pili na wapinzani wao. Dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 1-1 ASEC Mimosas mchezo…

Read More

SIMBA TAYARI KUIKABILI HOROYA KIMATAIFA

JUMA Mgunda,kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa maandalizi yote kuhusu mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya ya Guinea yamekamilika. Leo wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wanakibarua cha kusaka pointi tatu ugenini mchezo wa hatua ya makundi ambao ni wa kwanza kila timu. Mgunda ameweka wazi kuwa wanatambua ushindani…

Read More