
KIM POULSEN:HAITAKUWA KAZI RAHISI MBELE YA DR CONGO
KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa mchezo wa kesho dhidi ya DR Congo haitakuwa kazi rahisi kwa wachezaji lakini ni muhimu kupambana ili kupata matokeo chanya. Kesho, Stars ina kibarua kikubwa cha kusaka ushindi mbele ya DR Congo kwenye mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Dunia wakiwa…