
KAZE:TUTAPAMBANA KUPATA POINTI TATU
CEDRICK Kaze,Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa kwa mechi ambazo zimebaki watapambana kupata pointi tatu muhimu kwa kuwa walizikosa zile za Simba. Kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Aprili 30,2022 Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-0 Simba hivyo watani hao wa jadi waligawana pointi tatu. Akizungumza na Saleh Jembe,Kaze amesema kuwa wana kazi kubwa ya…