
RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA
BODI ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imepanga na kutangaza tarehe za mechi ambazo awali zilikuwa hazijapangiwa tarehe zake na imeweka wazi kwamba itaendelea kuzipangia tarehe mechi zote ambazo kwenye ratiba iliyoanza lakini hazikupangiwa tarehe. Ratiba ipo hivi:- Aprili 23,2022 Yanga v Namungo FC, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku Mei 5,2022 Biashara United v Dodoma…