
SIMBA QUEENS YAGOMEA DABI DHIDI YA YANGA PRINCESS
MENEJA wa Simba Queens, Seleman Makanya, amesema kwa sasa hawana tena dabi na Yanga Princess, ni bora wahamie kwa Fountain Gate Princess au JKT Queens. Makanya amekuja na kauli hiyo akiwa na maana kuwa Yanga Princess wameshakuwa wa kawaida, hiyo ni baada ya Ijumaa kufungwa nyumbani na Fountain Gate Princess mabao 2-3 katika mwendelezo wa…