
ARSENAL WAIBOMOA CHELSEA STAMFORD BRIDGE
WAKIWA ndani ya Uwanja wa Stamford Bridge mbele ya mashabiki 32,249 Arsenal wamegoma kuchana mkeka na badala yake wameishushia kichapo Chelsea ikiwa nyumbani. Baada ya dk 90 ubao ulisoma Chelsea 2-4 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu England uliokuwa ni wa kukata na shoka. Mabao ya wenyeji Chelsea yalifungwa na Timo Werner dk 17 na…