
MISRI YALALAMIKA KUONEWA BAADA YA KUFUNGWA NA SENEGAL
TIMU ya Taifa ya Misri yenye nahodha wake Mohamed Salah imefungashiwa virago katika kuwania kufuzu mchezo wa Kombe la Dunia mbele ya Senegal. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Me Abdoulaye Wade ulisoma Senegal 1-0 Misri na bao lilikuwa la kujifunga lilifungwa na Hamdin Fathi dk 4. Misri iliondolewa kwa changamoto za penalti ambapo ni penalti…