
YANGA KUMALIZANA NA KIUNGO WA BURKINA FASO
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas, Stephane Aziz Ki, raia wa Burkina Faso. Hiyo ni katika kukiboresha kikosi chao ambacho msimu ujao kitacheza Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa kitatwaa taji la Ligi Kuu Bara ama kuchukua Kombe la Shirikisho. Yanga inadaiwa hadi…