
NYOTA KAIZER CHIEFS KAKOMBA MKWANJA MREFU JANGWANI
IMEFAHAMIKA kwamba, mshambuliaji mpya wa Yanga, Mzambia, Lazarous Kambole, ndani ya kikosi hicho alichosaini mkataba wa miaka miwili, atakuwa analipwa zaidi ya shilingi milioni 278. Kambole amejiunga na Yanga akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini akiwa ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake. Mchezaji huyo ni wa kwanza kutambulishwa ndani ya Yanga kuelekea msimu…