
SAUTI:AZAM FC HAWATAKI UTANI,WASHUSHA NYOTA WA KAZI
AZAM FC yaanza kushusha majembe kwa ajili ya msimu mpya ambapo watakwenda kushiriki mashindano ya kimataifa
AZAM FC yaanza kushusha majembe kwa ajili ya msimu mpya ambapo watakwenda kushiriki mashindano ya kimataifa
YANNICK Bangala na Djuma Shaban mabeki wa Yanga wameweka wazi kwamba kesho watapambana mbele ya Coastal Union kwenye mchezo wa fainali Kombe la Shirikisho. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba na kufanikiwa kutinga hatua ya fainali. Kesho inatarajiwa kukutana na Coastal Union kwenye mchezo wa…
KLABU ya soka ya Totenham Hotspurs imefanikiwa kukamilisha dili la kumsajili mshambuliaji wa Everton na timu ya Taifa ya Brazil Richarlison kwa ada ya paundi milioni 50. Kwa mujibu wa mwandishi wa Habari za michezo anayeshughulika na taarifa za usajili barani humo, Fabrizio Romano amethibitisha kuwa Totenham wamefanikiwa kutoa kitita hicho huku Richarlison akifanikiwa pia…
BERNARND Morrison kutambulishwa rasmi Yanga na mabosi GSM
MORRISON atibua dili la Mcongo Yanga,Minziro ahofia Mpole kutua Simba ndani ya Championi Ijumaa
GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchezaji, Benard Morrison, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayomuhusu ikiwemo sababu za kuondoka Simba na klabu anayoelekea. “Walinipa mapumziko maana nilikataa kusaini mkataba mpya, kama ningecheza Simba miaka 5 au 10 alafu mwisho wa siku nikarudi Ghana sina hela au kumpgia mwenyekiti naomba hela kuisaidia familia yangu sio kitu kizuri”…
Uongozi wa Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Senzo Mbatha amekanusha taarifa inayo sambaa kuwa Mshambuliaji wa klabu hiyo, Fiston Mayele amesajiliwa na klabu ya Kaizer Chiefs kwa mkataba wa miaka mitatu na atatangazwa hivi karibuni. Amesema Kaizer Chief na Berkane zimeonyesha kumtaka nyota huyo wa kupachika mabao Yanga. “Lakini kama klabu hatumuuzi,”…
MWANDISHI Mkongwe Afrika, Nuhu Adams leo Julai 30, 2022 kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ameuzwa kwa Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu. “South African giants Kaizer Chiefs have completed the signing of Yanga striker Fiston Kalala Mayele (28) on a three-year contract,…
PAZIA la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/22 jana lilifungwa rasmi baada ya viwanja vitano kutimua vumbi kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu. Yanga ambao ni mabingwa wa ligi waliweza kuweka rekodi yao kwa kukamilisha msimu bila kufungwa kwenye mechi 30 ambazo wamecheza. Ushindi wa bao 1-0 waliopata mbele ya Mtibwa Sugar…
MCHEZAJI wa Simba, Benard Morrison, usiku wa kuamkia Juni 29, amewasili jijini Dar akitokea nchini Ghana..
KOCHA mpya Simba aanza na Yanga,ashusha majembe ya maana apewa masharti matatu ndani ya Spoti Xtra Jumanne
KIUNGO Novatus Dismas ambaye ni winga wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ameweza kupata dili la kujiunga na Klabu ya Zulte Waregen. Kiungo huyo aliwahi kucheza ndani ya kikosi cha Azam FC na alicheza pia katika Klabu ya Biashara United ambayo imeshuka daraja msimu wa 2021/22 baada ya kupoteza kwa kufungwa mabao 4-1 mbele…
MSIMU wa 2021/22 umekamilika ambapo mbivu na mbichi zimejulikana. Biashara United ya Mara itacheza Champioship msimu ujao ikiungana na Mbeya Kwanza ya Mbeya. Mtibwa Sugar wao watacheza mtoano na Tanzania Prisons ili kusaka timu itakayobaki ndani ya ligi. Matokeo yapo namna hii:- Kagera 0-0 Polisi Tanzania. Mbeya Kwanza 0-0 Simba, Yanga 1-0 Mtibwa mtupiaji ni Dennis Nkane…
LIGI Kuu Tanzania Bara leo inagota ukingoni ambapo mechi zinachezwa kwa mara ya mwisho msimu wa 2021/22. Matokeo kwa sasa ikiwa mapumziko yapo namna hii: Yanga 0-0 Mtibwa Sugar Mbeya City 0-1 Namungo Ruvu Shooting 1-0 Prisons Coastal Union 1-1 Geita Gold Azam FC 1-0 Biashara United Kagera 0-0 Polisi Tanzania Mbeya Kwanza 0-0 Simba…
NYAKATI za mashaka kwa sasa kwa baadhi ya timu na mashabiki ni sasa hasa kutokana na kushindwa kupata matokeo kwenye mechi ambazo walicheza mzunguko wa kwanza. Ukurasa wa mwisho kwa mechi ambazo zitachezwa utaamua nani atakuwa nani baada ya mwisho wa msimu kutokana na kila timu kuhitaji pointi tatu. Mbeya Kwanza asanteni kwa kuja nadhani…
KIKOSI cha Simba chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Mbeya Kwanza. Hiki hapa kikosi kitakachoanza:- Beno Kakolanya Jummsone Gadiel Onyango Kenned Lwanga Kassim Nyoni Kibu Banda Mhilu Akiba Aly Inonga Bocco Hassan Shaffi
LEO Juni 29 mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga wanakamilisha mzunguko wa 30 kwa kucheza na Mtibwa Sugar. Hiki hapa kikosi cha Yanga:- Mshery Kibwana Bryson Mwamnyeto Bacca Feisal Farid Jesus Ambundo Kaseke Mayele Akiba Johora Boxer Yassin Shaibu Balama Ushindi Nkane Makambo Yusuph