
PAPE AWEKA REKODI,ABEBA TUZO YAKE YA FUNGA MSIMU
PAPE Sakho,mzee wa kunyunyiza staili yake ya kushangilia ameweza kuweka rekodi ya kuwa kinara wa pasi ndani ya kikosi cha Simba baada ya kumaliza na pasi za mabao 5. Kiungo huyo raia wa Senegal kwa msimu uliomeguka wa 2021/22 ni mechi 22 alicheza na kuyeyusha dk 1,355 na katupia mabao 6. Kahusika kwenye mabao 10…