
SAUTI:KIKOSI KIPYA CHA YANGA CHEKI KILIVYO
BAADA ya kukamilisha usajili wa Bernard Morrison huku ikitajwa kuwa tayari kiungo Aziz KI ni mali ya timu hiyo kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuwa na nyota wakali.
BAADA ya kukamilisha usajili wa Bernard Morrison huku ikitajwa kuwa tayari kiungo Aziz KI ni mali ya timu hiyo kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuwa na nyota wakali.
LEO ni leo itakuwa kwa kuwa ni siku ya ugawaji wa tuzo kwa wanamichezo baada ya kukamilisha msimu wa 2021/22 ambapo mabingwa ni Yanga. Julai 7 zinatarajiwa kufanyika tuzo hizo kwenye Ukumbi wa Rotana Hotel, huku moja ya kipengele ambacho kinatazwa kwa ukaribu ni upande wa mlinda mlango. Hapa tunakuletea rekodi za mastaa hao watatu waliopenya…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa mseleleko ambao waliopata kuinasa saini ya kiungo kutoka Coastal Union Abdul Hamis Suleiman,’Sopu’ umetokana na kuwa na marafiki ndani ya Azam FC ambao ni wachezaji pia. Sopu alikuwa kwenye hesabu za Coastal Union wenyewe ambao walikuwa kwenye mazungumzo ya kumuongezea mkataba,Simba na Yanga nao wanatajwa kuwa walikuwa wanahitaji…
IMEELEZWA kuwa usajili wa Bernard Morrison umefawafanya Yanga, kuingia makubaliano ya kuachana rasmi na winga wa kulia raia wa DR Congo, Jesus Moloko. Moloko aliungana na Yanga Agosti 13, 2021, akitokea katika Klabu ya As Vita ya kwao DR Congo na kusaini mkataba wa miaka miwili. Chanzo cha uhakika kutoka Yanga kimeeleza kuwa, pamoja na ubora…
MGOMBEA wa nafasi ya Makamu wa Rais ndani ya Yanga,Suma Mwaitenda ameweka wazi kuwa akipata nafasi ya kuingoza timu hiyo atashirikiana na rais ambaye atachaguliwa. Julai 9, Yanga inatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi ambapo ni kwa upande wa Rais mgombea akiwa ni Injinia Hersi Said na kwa upande wa makamu wa Rais wapo wawili ikiwa…
INJINIA aanika usajili wote Yanga ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
NI beki wa kulia, Nathaniel Chilambo ambaye alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting amepata changamoto mpya. Hivyo bei huyo msimu ujao wa 2022/23 atakuwa na uzi wa Azam FCpale viunga vya Azam Complex. Chilambo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuweza kuitumikia timu hiyo ambayo inauhakika wa kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika baada ya…
IMEELEZWA kuwa baada ya Yanga kumalizana na kiungo Bernard Morrison sasa inakwenda kumtambulisha kiungo mwingine hivi karibuni
KLABU ya Simba, ipo kwenye wakati mzuri wa kumrudisha kikosini hapo kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kutoka Al Ahly ya Misri. Hiyo ni baada ya Luis kuwa na wakati mgumu ndani ya Al Ahly tangu alipojiunga na timu hiyo Agosti 26, 2021 akisaini mkataba wa miaka minne akitokea Simba. Baada ya Al…
JULAI 9,2022 wanachama wa Yanga kupitia wawakilishi wao ambao ni viongozi kutoka kwenye matawi wanatarajia kufanya uchaguzi kwa ajili ya kumpata Rais,Makamu wa Rais pamoja na Wajumbe watano. Huu hapa ni wasifu wa mgombea nafasi ya Makamu wa Rais ambapo ni Suma Mwaitenda WASIFU: (Taaluma na Kazi) -Mkadiriaji Majenzi (Quantity Surveyor) -Msimamizi wa Miradi (Project…
HAJI Manara,Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa anafarijika akikaa kwenye TV ila akiwa uwanjani anakuwa na presha kubwa azungumzia suala la mechi dhidi ya Coastal Union,ameweka wazi kwamba hakutamka lugha ya matusi mbele ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF),Wallance Karia
BEKI wa Simba,Henock Inonga ndani ya msimu wa 2021/22 ameweka rekodi yake ya kuwa mchezaji pekee aliyeonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa wale waliopenya kwenye orodha hiyo wakiwa wapo watatu. Kesho kwenye ukumbi wa Rotana Hotel tuzo za Bodi ya Ligi zinatarajiwa kutolewa ambapo moja ya tuzo ambayo inatazamwa kwa ukaribu ni hii iliyokuwa mikononi…
SENZO Mbatha,Mtendaji Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba ni furaha kubwa kwa timu hiyo kuweza kutwa mataji matatu kwa msimu wa 2021/22 huku akibainisha kwamba Haji Manara ni sehemu ya watu ambao wameweza kuleta matokeo hivyo matokeo ambayo wameyapata ni ya kila mmoja na wana jambo la kutamulisha wachezaji wao na kwa mashabiki kuweza kuwaonyesha…
INJINIA Hersi Said ameweka wazi kuwa atafanya mambo makubwa matano akipata nafasi ya kuwa Rais wa Yanga,Julai 9 uchaguzi wa Yanga unatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere
IKIWA umetulia kwa sasa na kutazama upepo ambavyo upo lazima utasikia kuhusu namna ambavyo kila mwenye nguvu anaingia sokoni kusaka kile ambacho anakihitaji. Huu ni upepo mzuri hasa kwa kila mmoja kupata kile ambacho anakitaka muda huu wa kufanya maandalizi ya usajili kwa wachezaji ambao wanahitajika. Wapo wachezaji ambao wameshapewa mkono wa kwa heri mapema…
KOCHA Mserbia aleta mfumo wa mabao Simba,ndani ya Championi Jumatano
Unguja. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana….