
RAHEEM NI CHELSEA RASMI
STAA Raheem Sterling (27) ameandika ujumbe maalum wa kuwaaga mashabiki wa Manchester City muda mfupi kabla ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Klabu ya Chelsea ya Uingereza. Katika ujumbe wake Sterling amewashukuru mashabiki na timu ya Manchester City pamoja na bechi la ufundi kwa ujumla kutokana na namna walivyokuwa naye katika nyakati nzuri na…