
SIMBA WAMEANZA MAZOEZI MISRI
WASHINDI wa pili ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba tayari wameanza mazoezi nchini Misri ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23. Simba chini ya Kocha Mkuu, Zoran Maki ilifanikiwa kuwasili nchini Misri salama baada ya kusepa Bongo Julai 14,2022 mchana. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani…