
AZAM FC YAFUNGA USAJILI NA BEKI WA KAZI
UONGOZI wa Azam FC umefunga usajili wao kwa kumtambulisha beki wa kati wa kimataifa raia Senegal, Malickou Ndoye, akitokea Teungueth FC ya huko. Taarifa iliyotolewa na Azam FC imeeleza kuwa Ndoye mwenye miaka 22, ni mmoja wa mabeki wanaokubalika na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse ambaye alimjumuisha kwenye kikosi kilichoshiriki…