
SIMBA YASHUSHA DOZI KUBWA MISRI,YAPIGA MKWARA
MCHEZO wa pili wa kirafiki kwa washindi namba mbili wa Ligi Kuu Bara Simba uliochezwa usiku wa kuamkia leo nchni Misri ilikuwa dhidi ya Al Akkhood Club ya Misri na Simba kuibuka na ushindi mkubwa. Ilikuwa ni ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Al Akhdood Club ya Misri ambapo Kocha Mkuu Zoran Maki aliweza kuongoza…