
MKATABA WA SIMBA NA M-BET BILIONI 26
MTEDAJI Mkuu wa Simba,Barbara Gonzale amesema kuwa leo ni kubwa kwa Simba na kampuni ya kubashiri ya M-Bet ambao ni wadhamini wao wakuu walioweka mkwanja mrefu kwa muda wa miaka mitano. Ni mkataba wenye thamani ya bilioni 26 kwa miaka mitano ikiwa ni mkwanja mrefu watakaopokea Simba kwa mafungumafungu. Barbara amesema:”Leo ni siku kubwa kwa…