
HANS PLUIJM KUTAMBULISHWA SINGIDA BIG STARS
INAELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Singida Big Stars,Hans Pluijm atatangazwa rasmi na benchi lake jipya Uwanja wa Liti Agosti 4 siku ya tamasha lililopewa jina la Big Day Habari zinaeleza kuwa Singida Big Stars imefikia hatua nzuri na Pluijm kuweza kurejea kwa mara nyingine tena kwenye ardhi ya Tanzania aliwahi kuifundisha Yanga,Azam FC na Singida…