
YANGA INAHTAJI MATAJI MATATU,KUANZA NA SIMBA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kukusanya mataji yote matatu iliyotwaa kwa msimu wa 2021/22. Ni Ngao ya Jamii,Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho ambayo waliyatwaa msimu uliopita yote yalikuwa mikononi mwa Simba hivyo wanakazi ya kuweza kuyatetea kwa mara nyingine tena. Ofisa Habari wa Yanga,Hassan Bumbuli amesema kuwa wanatambua kwamba…