
TIMU YA TAIFA BEACH SOCCER KAZINI LEO
LEO kikosi cha Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’ kitakuwa na mchezo wa marudiano wa kufuzu AFCON (BSAFCON) dhidi ya Malawi kwa ajili ya kufunga hesabu yake ya maandalizi hayo kwenye Fukwe za Coco jijini Dar es Salaam. Katika mazoezi ya mwishomwisho yaliyofanyika Ijumaa na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa michezo wakiongozwa…