
KIUNGO WA KAZI SIMBA AINGIA KWENYE VITA
SADIO Kanoute raia wa Mali, kiungo wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba ameingia kwenye vita nyingine na mastaa wengine wawili wa kikosi cha timu hiyo kuwania tuzo. Ni tuzo ya mchezaji bora chaguo la mashabiki ndani ya Simba inayopatikana kutokana na mashabiki wa timu hiyo ambayo imeweka kambi nchini Sudan kupiga kura. Kanoute…