MSAFARA WA SIMBA KUREJEA DAR

BAADA ya kumaliza kazi kwenye mechi mbili za kirafiki ambazo walialikwa nchini Sudan na Klabu ya Al Hilal, kikosi cha Simba leo Septemba Mosi kinatarajiwa kurejea Dar. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki iliweza kupata matokeo kwenye mchezo mmoja chanya na mwingine waliweza kupata matokeo hasi.  Kwenye mchezo wa kwanza walipata ushindi wa…

Read More

KIUNGO WA YANGA AIBUKIA GEITA GOLD

 RASMI Geita Gold FC imemtambulisha nyota wao mpya Said Ntibanzokiza kuwa ni mali yao kwa msimu wa 2022/23. Anaibuka ndani ya Geita Gold akiwa ni mchezaji huru baada ya dili lake na Yanga kugota ukingoni mwishoni mwa msimu wa 2021/22.  Taarifa rasmi iliyotolewa na Geita Gold imeeleza kuwa ni dili la mwaka mmoja amesaini nyota…

Read More

VIDEO:HILI HAPA TATIZO LA AZAM FC LILIPO

AZAM FC kwa sasa ipo chimbo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 6,2022, timu hiyo imewafuta kazi makocha wao ikiwa ni Moallin Abdi aliyekuwa kocha mkuu na kuwa chini ya kocha wa makipa kwa muda huku Jembe akitaja tatizo la timu hiyo lilipo

Read More

SIMBA YAPOTEZA MBELE YA AL HILAL

KIKOSI cha Simba kimepoteza mchezo wake wa pili wa kirafiki kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal. Mchezo wa leo ni wa pili kwa Simba kucheza ikiwa nchini Sudan ambapo ilialikwa kwenye mashindano maalumu yaliyoandaliwa na Klabu ya Al Hilal. Katika mchezo wa kwanza Simba ilishinda mabao 4-2 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana….

Read More

KISINDA AREJEA YANGA KWA MARA NYINGINE TENA

TUISILA Kisinda amerejea kwa mara nyingine ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane. Nyota huyo raia wa DR Congo anasifika kwa soka la spidi na kuwa mmoja ya viungo ambao wana kasi kubwa wawapo uwanjani. Anakumbukwa namna alivyokuwa akiwapa tabu wapinzani wake alipokuwa ndani ya Yanga ikiwa ni pamoja na kumsababisha penalti…

Read More

RONALDO KUTUA NAPOLI

 NYOTA Cristiano Ronaldo anaweza kutua ndani ya Klabu ya Napoli kabla ya usajili kufungwa kesho Septemba Mosi. Wakala maarufu duniani, Jorge Mendes anapambana kuhakikisha staa huyo anayetaka kuondoka Manchester United anapata changamoto mpya. Taarifa zimeeleza kuwa dili lake la kujiunga na Napoli litahusisha kubadilisha baadhi ya wachezaji. Cr 7 mwenye Ballon d’Or tano aliwaambia viongozi…

Read More

MERIDIANBET WAWATEMBELEA SOBER HOUSE KIGAMBONI

Meridianbet kama ilivyo desturi na utamaduni wao wamekuwa wakijitahidi kushirikiana na jamii na kusaidia makundi yenye uhitaji na yanayokumbwa na changamoto mbalimbali. Jana Meridianbet waliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya wanaopambana kuachana na matumizi ya madawa hayo chini ya taasisi ya Pillimissana Foundation huko Kigamboni. Taasisi hiyo imeanzishwa takribani miaka kumi iliyopita, ikijishughulisha na watu…

Read More

YANGA KUIKABILI AZAM KWA MBINU TOFAUTI

CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa atabadili mbinu kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC. Kocha huyo amekiongoza kikosi hicho kwenye mechi mbili na kushinda zote ugenini. IlikuwaPolisi Tanzania 1-2 Yanga na Coastal Union 0-2 Yanga zote zilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mchezo ujao utakuwa ni wa kwanza kwa Nabi kuingoza…

Read More

WAMEANZA MSIMU KWA MAJANGA MASTAA HAWA

TAYARI mbio za kusaka ushindi kwenye Ligi Kuu Bara zinaendelea huku wachezaji wengine wakianza kwa majanga ya hapa na pale hali inayowafanya wasiwepo kwenye mechi za ushindani. Wapo wengine ambao walianza msimu lakini majukumu waliyopewa kwao yaliwapa matokeo tofauti na kile ambacho wengi walikuwa wanatarajia. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa ambao wameanza msimu kwa majanga…

Read More

WACHEZAJI STARS KAZI IPO KWENU KUJITUMA KUTAFUTA MATOKEO

IMESHATOKEA kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wachezaji wa ndani, (CHAN) kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kupoteza. Hamna namna ilikuwa lazima iwe hivyo kwa sababu mpira ni mchezo wa makosa na pale ambapo wachezaji walikosea wapinzani wakatumia nafasi hiyo kuweza kutuadhabi. Matokeo huwezi kubadili…

Read More